Jinsi Ya Kuungana Na Wauzaji

Ukiona Tumeandika Neno HAJAPATIKANA basi ni kwasababu bado hatujampata mtu wa kumuweka kama muuzaji wa Bidhaa Hii.

Naitwa Lenald Minja Website Hii niliitengeneza kwa ajili ya kuuza bidhaa za ndogo ndogo za mama yangu ila nikagundua wengi wanauhitaji wa kuji List ili watambulike ya kwamba wao ndio wauzaji halisi wa Bidhaa zao. Unaweza Kusoma wasifu wangu hapa Lenald Minja.

Kama wewe ni muuzaji wa Hii bidhaa au Bidhaa Nyingine yoyote ile karibu sana uungane na mimi kwenye List Ya Wauzaji wa Tanzania.

Website Hii ina watembeleaji wengi sana kwa mwezi wanaokuja kuangalia List ya Namba za Simu za wauzaji wa Bidhaa za Aina mbalimbali Tanzania.

Kama Unataka Kujiunga na Hii Website ya Wauzaji wa Tanzania unaweza Kunipata kwa Kunitumia Email [email protected] Au Unaweza Kujaza Hii Form Hapa Chini Kisha mimi Nitawasiliana na Wewe.

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general